tiko
tiko
LEO
hii kwenye Live Chumba cha Habari cha Global Publishers tunaye
mwanadada muimbaji anayefanya vizuri katika soko la muziki wa Hip Hop,
Witness Mwijage ambaye alikuwa akiunda Kundi la Wakilisha kipindi cha
nyuma ambapo aliambatana na mzazi mwenzie msanii wa Bongo Fleva, Ochu
Sheggy.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Witness Mwijage (kushoto), akiwa katika pozi na mchumba wake Ochu Sheggy, muda mfupi baada ya kuwasili katika studio za Global TV Online, Bamaga-Mwenge jijini Dar.
Katika mahojiano na safu hii ambayo huwa
inarushwa kupitia Global Tv Online kwenye Kipindi cha Mtu Kati, Witness
alisema kwa sasa yeye na mzazi mwenzie wameunda kundi lao
linalojulikana kwa jina la Ochuness ambalo ni muunganiko wa Ochu na
Witness (ness) na kuongeza kuwa amejifunza kuimba.
Mwandishi: Witness nini kilisababisha
kundi lenu la Wakilisha kuvunjika?Witness: Kundi letu lilikuwa na watu
watatu nikiwemo mimi, Sarah Kaisi ‘Shaa’ na marehemu, Langa Kileo,
kilichotufanya tukasambaratika ni kutokana na menejimenti tuliyokuwa
nayo ya Coca Cola. Wale walikuwepo hapa nchini wakitokea Afrika Kusini
ambapo lengo lao lilikuwa kuondoa vijana wa mitaani na kuinua vipaji vya
wanamuziki wachanga. Muda wao ulivyokwisha na mkataba wetu kama
washindi ukaishia pale.
Mwandishi: Ulikutana na mzazi mwenzio, Ochu katika mazingira gani?
Witness: Tulikutana katika mazingira ya studio lakini kabla ya hapo Ochu aliniambia alikuwa akiniona kwenye runinga katika mashindano ya Coca Cola Pop Star na aliwahi kumwambia mama yake kuwa ipo siku atakuja kunioa, lakini tulikuja kukutana tena studio kwa mara nyingine baada ya miaka mingi kupita ndiyo tukawa wapenzi na mpaka leo hii tunaishi pamoja kama mke na mume japo hatujafunga ndoa.

Mwandishi: Vipi, mipango yenu kuhusu ndoa?
Ochu: Siwezi kufunga ndoa kabla sijajikamilisha kimaisha, mfano kuna vitu vyangu mimi navihitaji naomba Mungu pia huenda visipatikane sasa nitakaa bila kuoa, itanibidi nioe lakini mtu anapoamua kuoa ina maana tayari ameshajipanga na ana kila kitu sasa unakuta mtu anakuletea zawadi ya kabati au sofa hawazi kama kuna maisha mengine baada ya ndoa, angalia ndoa iliyofungwa baada ya mwezi mmoja utakuta wanandoa wamefulia.

Mwandishi: Sasa hivi mmeamua kufanya kazi pamoja ni changamoto gani ambazo mnakumbana nazo?
Witness: Tunapotaka kwenda kwenye shoo yoyote ile huwa tunakumbushana kuwa huko tunakokwenda anaweza akatokea mtu wa namna hii au ile kwa sababu tu hajawahi kukuona laivu huwa anakuona kwenye runinga basi anaona pale ndiyo mahali pa kumalizia dhamira yake.

Ochu: Menejimeti wanazopata watoto wa
kike haziwi kikazi zaidi ndiyo maana unasikia meneja kamfukuza msanii
kwa sababu tu siku mbili, tatu simu za mambo mengine nje ya muziki
zilizidi na siyo muziki tena. Nakumbuka kuna siku ilitokea nikiwa
jukwaani ghafla mdada mmoja alipanda na kuanza kunishikashika mara
mabusu shingoni nikaona mama (Witness) hanipi ushirikiano tena kama
ilivyokuwa mwanzo matokeo yake akabaki kuwa mlinzi tu.
Mwandishi: Hivi sasaw tunawaona mmekuwa
kitu kimoja (Ochuness). Je, mnatarajia kuja kuwa na meneja katika kazi
zenu?Witness: Ni kweli sasa hivi tunafanya kazi pamoja kama kundi lakini
kwenye suala la menejimenti tunajimeneji wenyewe katika kundi letu la
Ochuness lakini kama kuna mtu anataka kunimeneji mimi Ochu
ruksa.Mahojiano kamili tembelea www.tabasamunadaniel.blogspot.com
tiko
tiko
Post a Comment