Realtime blog statistics Realtime blog statistics
Scanning..

TANGAZO LA KUPOTEA KWA NDUGU NSAJIGWA KENNEDY MWANG'ONDA‏

tiko tiko
Familia ya Marehemu Robert Mwang'onda wa Mabibo jijini Dar es Salaam wanapenda kutangaza kupotelewa na ndugu yao Nsajigwa Kennedy Mwang'onda ambaye aliondoka nyumbani Mabibo CCM - Karibu na Chuo Cha Usafirishaji toka tarehe 26-2-2015.
Nsajigwa ana matatizo ya kupoteza kumbukumbu.
Atakayemuona awafahamishe kwa simu namba 0715 919 168 Frank Mwang'onda, 0682 822 111/ 0754 631 888.
Au atoe taarifa kituo chochote cha Polisi kwa URP/RB/2331/2015.

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI KUHUSU HABARI HII

tiko tiko

Post a Comment

CodeNirvana
© Haki Zote Zimeifadhiwa Kalamu 1 | designed by tabasamu na ∂αиιєℓι
Code Nirvana
Back To Top