tiko
tiko
Baada ya Ali kiba kuachia single mpya iitwayo Cheka Chaketua hivi karibuni,
sasa basi good news ninayotaka kukusogezea ni kwamba Omary Nyembo aka
Ommy Dimpoz ameshare nasi hizi kava nne zinazokaribisha ujio wa single
yake mpya iitwayo Wanjera inayotarajiwa kuachia kesho tarehe 13, 2015.
Kwenye kava hizo zinamuonesha Ommy Dimpoz yuko na msanii wa Bongo Movies, Wema Sepetu.
Ni halali yako kupata kila stori
inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia
Twitter, Instagram, na Facebook ukijiunga na mimi
tiko
tiko
Post a Comment