tiko
tiko
Polisi
jijini Mwanza wanatumia mabomu ya machozi kuwatawanya waombolezaji
waliojikusanya mjini misungwi kupinga kitendo cha Polisi kumpiga kijana
Magata Salum aliyekufa leo.Wananchi hao wamejikusanya kupinga mwili wa kijana huyo Magata Salum kupelekwa kituo cha polisi wala kushughulikiwa na polisi kwa madai kuwa amekufa kwa kupigwa na polisi.
tiko
tiko
Post a Comment