tiko
tiko
Mkali
kutoka kwenye bendi mahiri hapa nchini ya Yamoto Ban,Aslay Isihaka
‘Dogo Aslay’amemtaja mtunzi wa ngoma ya yenye mashairi yenye utata
ambayo inafanya vyema kwenye vituo vya redio na tv ya
‘‘nitakupwelepweta’kuwa ni mkurugenzi wa kituo cha Mkubwa na Wanae,Said
Fella’’Mkubwa Fella’’.Alisema kuwa ngoma hiyo siyo kwamba ujumbe wake wameimbiwa wanawake peke yao kama ambavyo watu wengi wanavyohani lakini pia wanaume watu wazima wenye tabia ya kutembea na wasichana na wavulana wenye umri mdogo.‘’Watu wengi wamekuwa wakitafsiri tofauti hii nyimbo lakini ukweli ni kwamba tumewaimbia wanaume na wanawake watu wazima ambao wanatembea na wasichana na wavulana wadogo,’alisema Aslay.
tiko
tiko
Post a Comment