Realtime blog statistics Realtime blog statistics
Scanning..

BUNDUKI BANDIA ZA WATOTO MARUFUKU KUANZIA JULAI MWAKA HUU

tiko tiko



Ifikapo Julai Mosi mwaka huu endapo mwanao atabainika kuwa na silaha bandia (Toy Gun) atakuwa amefanya kosa la jinai, kwa vile Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Silaha na Risasi umepiga marufuku uingizwaji na matumizi yake nchini. Muswada huo uliopitishwa na Bunge jana utaanza kutumika Julai mwaka huu, pamoja na mambo mengine, unalenga kuziba mianya ya kuingiza silaha bandia nchini.
tiko tiko

Post a Comment

CodeNirvana
© Haki Zote Zimeifadhiwa Kalamu 1 | designed by tabasamu na ∂αиιєℓι
Code Nirvana
Back To Top