tiko
tiko
Wakizungumza
kwa jazba katika mkutano wa kutafuta muafaka wa sakata hilo
,wananchi hao wamesema wamefikia hatua hiyo baada ya kubaini kuwa
viongozi wao wa vijiji wamekuwa wakikwepa kuwaeleza ukweli wa
fedha zao .\
Hata
hivyo baada ya mvutano mkali baadhi ya viongozi wa kijiji
hicho walifanikiwa kuwatuliza wananchi hao na kufungua barabara
hiyo huku wakitoa siku tatu za kupatiwa majibu ya kueleweka
kabla hawajachukua hatua nyingine
Wakizungumzia
sakata hilo wawakilishi wa makampuni hayo akiweamo mhandisi
Regan Usiri pamoja na kuwaomba wananchi hao kuwa na subira ili
wakati wanafuatilia madai yao wamesema wanachojua wao ni
kwamba fedha hizo zimelipwa kwa taasisi ya jeshi la
wananchi kwa madai kuwa ndiyo wanaomiliki eneo iliko minara
hiyo maelezo ambayo yamepingwa vikali na wananchi hao .
Pamoja
na mkanganyiko huo viongozi wa vijiji wameahidi kufuatilia
suala hilo ngazi za juu na ili kujua ukweli na kumaliza utata
huo ambao ulisababisha baadhi ya huduma kwenye minara hiyo
kusimama
tiko
tiko
Post a Comment