Kwenye spika zako hajasikika muda mrefu kimuziki ingawa kuna story tofauti ambazo zimekua zikimhusisha staa wa Bongo Fleva, Ferooz ikiwemo inshu ya kuchimba madini na duka la nguo.
Good news ambayo Ferooz leo ameshare nasi ni kuhusu biashara nyingine ambayo anategemea kuizindua Jumatano ya February 04, biashara ambayo anaifungua Ferooz ni biashara ya mgahawa ambao utakua ukihudumia maeneo ya Darfree Market.
Ferooz
kasema mgahawa huo umegharimu kama milion 30 za Kitanzania na utakua
ukitoa huduma ya chakula cha aina yoyote baada ya uzinduzi wake
kufanyika.
Ni halali yako kupata kila stori
inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia
Twitter, Instagram na Facebook ukijiunga na mimi
Post a Comment