tiko
tiko
Stori kuhusu ishu
ya Ebola huenda ni moja ya story zilizochukua headlines kubwa kwa mwaka
wote 2014, tangu iliporipotiwa kuibuka kwa maambukizi ya ugonjwa huo
Afrika Magharibi mwanzo wa mwaka 2014.
Hii inaweza kuwa
habari njema kwa Waafrika na dunia nzima kwa ujumla, taarifa iliyopo ni
kwamba jaribio la kwanza la chanjo ya ugonjwa wa Ebola kutarajiwa kuanza kutumika Liberia wakati wowote kuanzia sasa.
Wataalamu wanatarajia zaidi ya watu 30,000 watajitokeza katika zoezi la majaribio hayo wakiwemo wahudumu wa afya.
Katika kipindi cha mwaka mmoja zaidi ya watu elfu tisini wamefariki kutokana na ugonjwa huo ambao uliandama zaidi Mataifa ya Guinea, Sierra Leone na Liberia.
Ni halali yako kupata kila stori
inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia
twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi
tiko
tiko
Post a Comment