tiko
tiko
....Wakati
Diamond, ambaye hajatimiza hata miaka kumi kwenye tasnia ya muziki kuna
mtu mmoja anaitwa Muhidini Gurumo, amejishughulisha na muziki kwa
takriban miaka 45 lakini kila alipokutana na swali hili kutoka kwa
wanahabari kuwa kwa kipindi chote hicho muziki umemsaidia nini, jibu lake ni: “Bado hakuna ninachoweza kujivunia kupitia muziki, hali ya maisha ni ngumu.”
Gurumo ambaye alizaliwa 1940 alianza muziki mwaka 1959 akiwa na bendi
ya Kilimanjaro Chacha Band. Sasa ni takriban miaka 45, umri wa baba
mwenye wajukuu lakini alichofanikiwa ni kujenga nyumba mbili na kupata
shamba moja. Gari lenyewe alizawadiwa na Diamond mwaka huu baada ya
kulalamika sana kwenye vyombo vya habari.
Nini Tatizo ......Itaendelea Kesho Saa Na Wakati Kama Huu Wewe Pitia Tu Hapa Maana Tunaelekea Patamu
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI KUHUSU HABARI HII
tiko
tiko
Post a Comment