tiko
tiko
Jana Siku Nzima Msichana huyu
anayejulikana kama Nice Chande ama @mwakalicious24 amepaishwa sana
kwenye mitandao ikisemekana kuwa Rais kamchangua kuwa Mkuu wa Wilaya
...Watu wengi waliguswa hasa kutokana na umbo lake matata ....Bado
hatujapata ukweli wa jambo hili lakini haraka haraka nimeangalia majina
ya wakuu wa Wilaya wapya sijaona jina lake labda awe anatumia jina
jingine ...Jionee Picha zaidi Hapa Chini:
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI KUHUSU HABARI HII
tiko
tiko
Post a Comment