Realtime blog statistics Realtime blog statistics
Scanning..

Rais Jakaya Kikwete Amsifia Diamond Songea Kwenye Sherehe za CCM

tiko tiko
Tukiwa tunaendelea na shamra shamra za kuadhimishwa miaka 38 ya CCM yanayofanyika kitaifa mkoani Songea ktk uwanja wa Majimaji na mgeni rasmi akiwa prof. Jakaya Mrisho Kikwete, Umati wa watu uliofurika uwanjani hapo maelfu ya watu yameibuka na shangwe na miruzi pale JK alipo sema "hakuna mwanamziki mkubwa AFRIKA kama DIAMOND PLATNUMZ".
 


Je Unakubaliana na Kauli ya Prof Kikwete ?
tiko tiko

Post a Comment

CodeNirvana
© Haki Zote Zimeifadhiwa Kalamu 1 | designed by tabasamu na ∂αиιєℓι
Code Nirvana
Back To Top