tiko
tiko
Tuliona
walichofanya mastaa wa Marekani kupinga mauaji ya watu weusi
yaliyotokea kwenye nchi hiyo ikiwahusisha maafisa wa usalama.
Kwenye mitandao ya kijamii kuliandikwa ujumbe uliokuwa na hashtag ya ‘I Can’t Breathe’ na zikawepo mpaka tshirt zenye neno hilo kupinga mauaji ya Eric Garner na hayo yalikuwa maneno yake ya mwisho aliyoyasema kabla ya kuuawa na Polisi kwa kukabwa shingo.
Kundi ya mziki nchini Urusi la Pussy Riot limetoa video ya wimbo unaoitwa I Can’t Breathe na kusema wimbo huo ni maalum kwa Eric na wale wote wanahofia mauaji hayo kama njia ya kuonyesha mshikamano.Na hizi ni baadhi ya zile zilizovaliwa na mastar kupinga mauaji hao
Pussy Riot mastaa kwenye muziki Marekani nao wamekuja na hii video ya wimbo, ‘I Can’t Breathe’
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram, na Facebook ukijiunga na mimi
tiko
tiko
Post a Comment