tiko
tiko
TUME ya
Taifa ya Uchaguzi ‘’NEC” imetoa tathimini ya zoezi la majaribio (Pilot)
la Uboreshwaji wa Daftari la Kudumua la Wapigaji Kura katika majimbo ya
Kawe, Dare s salaam, Kilombero Morogoro, pamoja na Milele mkoani
Katavi, kwa ajili ya kutumia teknolojia mpya ya Biometric Voter
Registration –(BVR) Akizungumza na wanahabari leo katika Ukumbi wa
Golden Tower uliopo Posta Jijini Da er salaam,
Mkurugenzi wa Tume, Julias Maluba amesema kuwa maandalizi mengine
waliyofanya ni pamoja na uhakiki wa vituo vya kuandikishia wapiga kura,
katika ngazi ya vitongoji, vijiji na mitaa, hivyo tume imefanikiwa
kuongeza vituo vingine vipya kutoka vituo 24,919 hadi vituo 36,109 vya
sasa.
Aidha Malaba ametaja changamoto walizokutana nazo ni pamoja na ‘setting’
za mashine inayotumika katika zoezi hilo la uchukuaji wa alama za
vidole, majina ya wenye alama ‘ ( mfano wa jina ng’ombe) na zinginezo.
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI KUHUSU HABARI HII
tiko
tiko
Post a Comment