Realtime blog statistics Realtime blog statistics
Scanning..

Mwanamuziki Diamond Alipwa Millioni 50 Cash Kuwatumbuiza CCM Leo

tiko tiko
Chama cha mapinduzi CCM kesho tarehe 1 Feb 2015 kinaadhimisha miaka 38 tangu kuanzishwa kwake mjini songea mkoani Ruvuma.....

Kundi la TOT ambalo linamilikiwa na CCM litakuwepo mjini songea kutumbuiza na mwanamuziki Diamond Plutinumz amekubali kutumbuiza baada ya chama cha CCM kukubaliana naye kwa shingo upande kumlipa milioni hamsini (50 mil.) ili Diamond atumbuize kesho.
tiko tiko

Post a Comment

CodeNirvana
© Haki Zote Zimeifadhiwa Kalamu 1 | designed by tabasamu na ∂αиιєℓι
Code Nirvana
Back To Top