Lulu
Michael Mrembo wa Bongo movies amezidi mwagiwa sifa Kede kede
mitandaoni hasa Instagram kwa jinsi anavyojiweka kimuonekano japo
anakabiliwa na kesi ya........
mauaji
ya bila kukusudia ya marehemu Kanumba , Watu wamempa sifa na kusema
toka atoke mahabusu kwa dhamana amezidi kuwa mrembo zaidi..Wapo
wanaotania na kusema amezidi kuwa Mtamu kama Mcharo!!!!
Post a Comment