tiko
tiko

Msanii kutoka kundi la Tip Top Connection,Tunda Man amefunguka kuwa kati ya mipango yake aliyoifanya mwaka huu ni pamoja na kutarajia kufunga ndoa mwaka huu.
Akipiga story na 255 ya xxl alisema kuwa kila kitu kipo sawa na kinachosubiriwa ni siku yenyewe tu ifike.
‘’Kila kitu kipo tayari kinachosubiriwa ni siku yenyewe ya kufunga ndoa
kwani ndiyo mipango yangu ya mwaka huu’’alisema Tunda Man.
Akizungumzia ishu ya kuwa kila msanii akioa hushuka kisanii alisema kuwa hafikirii kuwa atashuka kisanii kama akioa kwani ni jambo jema kila mtu lazima alipitie.
Akizungumzia ishu ya kuwa kila msanii akioa hushuka kisanii alisema kuwa hafikirii kuwa atashuka kisanii kama akioa kwani ni jambo jema kila mtu lazima alipitie.
tiko
tiko
Post a Comment