tiko
tiko
Mwaka
jana mwishoni (2014) baada ya Diamond kukutana na wasanii wakubwa wa
Afrika wakiwemo Fally Ipupa na P-Square nchini Nigeria, alisema
“nikikutana na 18 huwa naachia bonge la shuti mpaka nishinde” na kauli
yake imetimia.
Staa
huyo wa ‘Ntampata Wapi’ amefanikiwa kufanya collabo na staa wa DRC,
Fally Ipupa ambayo ni miongoni mwa nyimbo nne alizopanga kuzitoa kati ya
sasa na mwezi wa tatu.
Meneja
wa Diamond, Babu Tale amesema kuwa wanampango wa kutoa nyimbo nne
mfululizo hadi kufika mwezi wa tatu 2015, zikiwemo za Diamond na zingine
alizofanya collabo na wasanii wa nje.
“Huu
mwaka tunaugeuza vizuri kutoka January mpaka March tuna release nyimbo
nne mfululizo ambazo ni za Diamond na zingine ni za watu wa nje ambao
feauturing Diamond.
Fally
ametokea kumkubali Diamond, kwahiyo ngoma inakuwa ya Fally na Diamond,
kila mmoja anafanya kwenye sebule yake tunakutana kwenye video kama ni
Godfather, kama ni Adam, kama ni Moe Musa kama ni nani yeyote yule” Alisema Babu Tale kupitia Amplifaya ya Clouds Fm.
tiko
tiko
Post a Comment