tiko
tiko
Madereva hao wakiendelea na mgomo.
Baadhi ya magari yaliyoathiriwa na mgomo huo.
Polisi wakiwatawanya madereva hao.
Baadhi ya magari yaliyoathiriwa na mgomo huo.
Polisi wakiwatawanya madereva hao.
MADEREVA wa
daladala wilayani Misungwi, mkoani Mwanza wamefunga barabara kuu ya
kutoka Mwanza kwenda Dar es Salaam wakitaka Serikali ya Wilaya Misungwi
iwaoneshe vituo halali vya kuchukua na kushusha abiria.
Tukio hilo limetokea leo majira ya saa sita mchana ambapo abiria wa
Misungwi hawakuweza kwenda Mwanza Mjini sababu daladala zote ziligoma
kwenda na kusababisha usumbufu kwa abiria waliokuwa wakisafiri kwa muda
huo.
Hata hivyo, jeshi la Polisi lilizima zoezi hilo kwa kuwatawanya watu hao
kwa kuwa hawakufata taratibu za kisheria katika mgomo huo.
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI KUHUSU HABARI HII
tiko
tiko
Post a Comment