tiko
tiko
Joh Makini amekutana na Rapa KO wa kundi la Tearsgas, wako zao studio na kuna ishara zote kwamba kuna kazi inafanyika hapa, Joh aliweka picha Instagram na kuandika; “#Studio_flow
with #KO @mrcashtime himself #2KINGS #ARUSHA_MEETS_JOHANNESBURG #2015
#GODENGINEERING #WEUSIMEETSCASHTIME #amonmyway” –@joh_makini
Katika harakati za kuhakikisha muziki
unaenda kwenye level za kimataifa, tumeona juhudi za wasanii
wetu wakiongeza nguvu na kujisogeza wenyewe kwenye level hizo kila siku.
Kila la kheri kwa mtu wetu MWEUSI Joh Makini.
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram, na Facebook ukijiunga na mimi
tiko
tiko
Post a Comment