tiko
tiko
Tangu msanii wa Nigeria, Iyanya aiichia single mpya iitwayo Nakupenda
aliyomshirikisha Diamond Platnumz, mitandao mbalimbali ya Nigeria
imeonekana kushindwa kutafsiri jina la wimbo huo kwa lugha ya kingereza.
Mitandao hiyo ilikuwa ikitafsiri jina la wimbo huo unaoitwa Nakupenda kwa lugha ya Kingereza kama Marry Me, Remember, ambapo tafsiri sahihi la neno Nakupenda ni I LOVE YOU.
Hii ni baadhi ya mitandao ambayo imeonekana kushindwa kutafsiri jina la wimbo huo kwa lugha ya kingereza ikiwemo, Uncova.com, audiomack.com, Feva tv.com, tooxclusive.com, jaguda.com, naijaurban.com na mengineyo.
tiko
tiko
Post a Comment