tiko
tiko
Ujumbe
wa Kamati ya Bunge ya Ardhi , Maliasili na Mazingira ukiongozwa na
Makamu Mwenyekiti wa Kamati, Abdulkarim Esmail Hassan Shah (Mafia),
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angela Kairuki na
kuambatana na uongozi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakisikiliza maelezo
kutoka kwa Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Tumaini Thika
jana. Kamati hiyo iko katika ziara ya mafunzo nchini humo.
Ujumbe
wa Kamati ya Bunge ya Ardhi , Maliasili na Mazingira uliofuatana na
uongozi wa Shirika la Nyumba la Taifa ukiwa katika picha ya pamoja nje
ya Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, jana. Kamati hiyo iko
katika ziara ya mafunzo nchini humo.
Mjumbe
wa Kamati ya Maliasili na Mazingira Benedict Ole Nangoro, (kulia)
akijadiliana jambo na Mkuu wa Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani cha Shirika
la Nyumba la Taifa, Fatuma Chillo.
Ujumbe
wa Kamati ya Bunge ya Ardhi , Maliasili na Mazingira uliofuatana na
uongozi wa Shirika la Nyumba la Taifa ukiwa katika picha ya pamoja nje
ya Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, jana. Kamati hiyo iko
katika ziara ya mafunzo nchini humo
Ujumbe
wa Kamati ya Bunge ya Ardhi , Maliasili na Mazingira ukiongozwa na
Makamu Mwenyekiti wa Kamati, Abdulkarim Esmail Hassan Shah (Mafia),
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angela Kairuki
uliofuatana na uongozi wa Shirika la Nyumba la Taifa ukisikiliza maelezo
ya namna mashine ya ufyatuaji matofali ya Hydraform inavyofanya kazi
kutoka kwa Mtaalamu wa kampuni ya Hydraform ya Afrika Kusini, jana.
Kamati hiyo iko katika ziara ya mafunzo nchini humo.
Ujumbe
wa Kamati ya Bunge ya Ardhi , Maliasili na Mazingira uliofuatana na
uongozi wa Shirika la Nyumba la Taifa ukisikiliza maelezo ya namna
mashine ya ufyatuaji matofali ya Hydraform inavyofanya kazi kutoka kwa
Mtaalamu wa kampuni ya Hydraform ya Afrika Kusini, jana. Kamati hiyo iko

uongozi wa Shirika la Nyumba la Taifa ukisikiliza maelezo ya kutoka kwa

Katika picha ya pamoja nje ya ofisi za Kampuni za Hydraform Afrika Kusini leo.
Ujumbe
wa Kamati ya Bunge ya Ardhi , Maliasili na Mazingira uliofuatana na
uongozi wa Shirika la Nyumba la Taifa ukisikiliza maelezo ya namna
mashine ya ufyatuaji matofali ya Hydraform inavyofanya kazi kutoka kwa
Mtaalamu wa kampuni ya Hydraform ya Afrika Kusini, jana. Kamati hiyo iko
katika ziara ya mafunzo nchini humo.
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI KUHUSU HABARI HII
tiko
tiko
Post a Comment