tiko
tiko
BAADA ya
kuachana rasmi mwanzoni mwa mwaka huu, Isabela Mpanda ‘Bela’ na Luteni
Karama,msanii huyo wa kike ameamua kumwaga mchele kwa kudai kuwa aliwahi
kushika mimba zaidi ya nne za Karama na zote zikaharibika.
Akifunguka mbele ya paparazi wetu, Bela
alisema alikuwa akishika mimba hizo lakini zote zilikuwa zikiharibika
baada ya kufikisha miezi minne tu.
“Nilikuwa napenda kumzalia Karama lakini
kila alipokuwa akinipa mimba zote zilikuwa zikiharibika, ameshanipa
mimba nne na zote zikawa hivyohivyo. Sijui lakini labda damu zetu
zilikuwa haziendani kwenye mimba,” alisema Bela.
tiko
tiko
Post a Comment