tiko
tiko
MSANII anayefanya
vizuri kunako kiwanda cha filamu Bongo, Wastara Juma amefunguka kwamba
tasnia ya filamu kwa sasa inaonekana kama imeingiliwa na pepo mbaya
kutokana na mambo kwenda ndivyo sivyo kila kukicha.
Msanii anayefanya vizuri kunako kiwanda cha filamu Bongo, Wastara Juma.
Akizungumza na gazeti hili, Wastara
alisema tasnia ya filamu imekuwa ni ya migogoro, chuki huku bei
ikishuka jambo ambalo siyo sahihi kwani litawarudisha nyuma wasanii
wakati hata kazi hiyo hailipi kihivyo.
“Mimi sitengenezi filamu mpaka nielewane
na bosi bei kabisa lakini vinginevyo ndiyo maana nimeamua kujikita
kwenye biashara ili niweze kuendeleza maisha ya kila siku maana tasnia
haieleweki sasa hivi, naona kama pepo mbaya ametuvamia inatakiwa
tumuombe Mungu sana,” alisema Wastara.
tiko
tiko
Post a Comment