tiko
tiko
Akithibitisha
kutokea kwa ajali hiyo, Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani, SACP
Ulrich Matei amesema kuwa abiria hao waliruka kutoka katika basi hilo
kuhofia ajali ya kugongana na lori lililokuwa likitokea mbele ya basi
hilo na ndipo walipoangukia barabarani na kupelekea vifo vyao, baada ya
dereva wa basi kutoka nje ya barabara.
Aidha
Kamanda Matei amesema kuwa katika uchunguzi wa awali wa Chanzo cha
ajali hiyo wanamshikilia dereva wa lori hilo ambalo lilisababisha vifo
vya abiria hao walioruka kutoka katika basi la Hajees.
tiko
tiko
Post a Comment