Kiongozi
wa ziara ya wajumbe wa kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji, Amina
Makilagi, akieleza jambo wakati alipowasili kwenye ofisi za
Halmashauri ya Wilaya ya Lindi tayari kukagua miradi ya maji.Kushoto ni
Mkuu wa wilaya ya Lindi Nassor Himid na kulia ni Mwenyekiti wa
Halmashauri ya Lindi Mathei Makwinya.
Mkuu
wa Mkoa wa Lindi Mwantumu Mahiza akiwakaribisha wajumbe wa kamati ya
Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji waliotembelea mkoa huo kukagua baadhi ya
miradi ya Maji iliyopo mkoani humo. Ziara ya wajumbe wa kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji wakiwasili kwenye mtambo wa kusukuma maji wa Chikombe.
Post a Comment