tiko
tiko
Wanasayansi nchini Brazil wamefanya utafiti ili kubaini ni mtindo upi
katika ufanyaji tendo la ndoa ulio hatari zaidi kwa mwanaume.
Kwa
mujibu wa utafiti huo, mtindo ambao mwanamke anakuwa juu ya mwanaume
ndio hatari zaidi na huwa na risk kubwa zaidi ya kusababisha hata
kuvunjika kwa uume.
Wanasayansi hao wanasema:
Pindi
mwanamke anapokuwa juu, mara zote hucontrol movement na uzito wote wa
mwili wake ukitua kwenye uume uliosimama na kushindwa kuzuia pale uume
unapokuwa umeingia vibaya kwasababu madhara huwa ni madogo kwa mwanamke
bila maumivu lakini ni mabaya kwa mwanaume.
“…Pindi
mwanaume anapokuwa akicontrol movement, ana nafasi kubwa ya kuzuia
kutokana na uume wake kuwa sehemu mbaya na hali inayopelekea kusikia
maumivu na hivyo kupunguza hatari."
tiko
tiko
Post a Comment