tiko
tiko
Aliye kuwa Mwenyekiti wa Bongo Muvi,
Steven Nyerere hivi karibuni aliibua miguno baada ya kumganda kifuani
mama wa msanii Elizabeth Michael, Lucresia Karugila huku akionekana
kutotaka kubanduka mwilini mwa mama huyo.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steven Nyerere akimbambia mama wa msanii Elizabeth Michael, Lucresia Karugila.
Tukio hilo lililowafanya watu wabaki
wakiwa wamepigwa butwaa, lilijiri ndani ya Hoteli ya Landmark jijini Dar
kulikokuwa na uzinduzi wa kitabu cha Marehemu Steven Kanumba kiitwacho
The Great Follen Tree.
Awali, waalikwa kwenye sherehe hiyo
waliinuka na kwenda kucheza wimbo wa Christian Bella wa Nani Kama Mama
lakini katika hali ya kushangaza, msanii huyo alikwenda na kumvaa mama
Lulu kwa staili ya kumkumbatia kisha kumganda kwa sekunde kadhaa hali
iliyoibua maneno.
“Jamani jamani hebu mtazameni Steve
alivyoganda kifuani kwa Mama Lulu, dah! Huyu jamaa ana balaa kweli, hata
kama ni kucheza au ni salamu ndo amgande mama wa watu vile?’’ alisikika
akihoji mmoja wa wadau.
tiko
tiko
Post a Comment