Selana Gomez amekua Busy
na watu wake wa karibu ikiwemo familia yake wakati wa sikukuu za
Krismas na mwaka mpya, ili mradi tu aweze kumsahau mpenzi wake Justin
Bieber ingawa bado moyo wake unaonyesha dhati kumpenda.
Katika ziara yake Dubai Selana ameonekana kuwa karibu na mwanaume mmoja kwa jina la Harith Bukhash na kuspend naye muda mwingi huku akionyesha dhahiri kumsahaulisha machungu ya kuachana na mpenzi wake Bieber Mwanaume
huyo alionyesha ukaribu zaidi kwa Selena na kumfanya wakati wote kuwa
na furaha iliyoonyesha ni jinsi gani anatakiwa kufanyiwa kama malkia.
“Alikua na wakati mzuri sana Dubai na alikua karibu sana na Harith,
imeonyesha Selana ni jinsi gani anatakiwa kufanyiwa kama malkia,chanzo
cha habari kilieleza. Ni
halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari
kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga
na mimi
Post a Comment