tiko
tiko
Jengo la Ghorofa 8 likiwa linateketea
katika ghorofa ya 4,Jengo hilo linamilikiwa na mfanyabiashara
anayejulikana kwa jina la Haji Kube ,vitu mbalimbali zikiwemo Frem za
Picha ,maua, vimeteketea kwa moto. ambapo mmiliki wa ofisi hiyo yuko nje
kwa safari
Hapo wananchi wakikimbizana baada ya
nguzo ya umeme kutowa mlipuko katika Barabara ya Huru na Kongo Dar es
Salaam kama ilivyonaswa na mwandishi wa Jambo Leo alipokuwa akienda
katika Jengo la Ghorofa 8 lililopo jirani na Msikiti wa Kiblateni .
Hapo wananchi wakikimbizana na kuondowa bidhaa zao baada ya nguzo ya umeme
kutoa mlipuko katika Barabara ya Uhuru na Kongo Dar es Salaam.
NA VICTOR SIMO
tiko
tiko
Post a Comment