tiko
tiko
November 26, 2014 taarifa kubwa kutoka Nigeria ilikuwa ni taarifa ya msiba wa mzee Moses Okoye, baba mzazi wa mastaa wa muziki kutoka Nigeria, P Square.
Tangu
mzee huyo afariki ni miezi miwili sasa, yamepita matukio mengi huenda
tukawa tumeanza kusahau tukio hilo, story iliyoko mitandaoni kutoka
Nigeria ni kuhusu ndugu pamoja na familia ya mzee huyo kuandaa mazishi
yake.
Tarehe ambayo imepangwa kufanyika mazishi hayo ni January 30, ambayo ni kesho siku ya Ijumaa.
tiko
tiko
Post a Comment