Realtime blog statistics Realtime blog statistics
Scanning..

NAIBU WAZIRI MHAGAMA AVUTIWA NA KITUO CHA KUZALISHA UMEME VIJIJINI CHA KIKULETWA

tiko tiko
Naibu Waziri wa Elimu,Jenesta Mhagama akikagua chanzo cha kuzalisha Umeme cha Kikuletwa kilichopo wilayani Hai mkoa wa Kilimanjaro ambacho
kimekabidhiwa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)kwaajili ya kukitumia kufundishia na kuzalisha umeme vijijini,kushoto ni Mkuu wa Chuo,Dk Richard Masika.
Naibu Waziri wa Elimu,Jenesta Mhagama akikagua moja ya Transfoma iliyokua ikitumika kabla ya Tanesco kuacha kukitumia kituo hicho miaka ya 1980.
Naibu Waziri ,Jenista Mhagama na Mkuu Chuo,Dk Richard Masika wakiangalia mfumo wa kusafirisha umeme.
Mheshimiwa Jenesta Mhagama akiangalia njia za kuingiza maji kwenye mashine za kuzalisha umeme.
tiko tiko

Post a Comment

CodeNirvana
© Haki Zote Zimeifadhiwa Kalamu 1 | designed by tabasamu na ∂αиιєℓι
Code Nirvana
Back To Top