Realtime blog statistics Realtime blog statistics
Scanning..

Miaka 10 ya D’Banj kwenye muziki anajivunia mafanikio makubwa! kuhusu NDOA je?…

tiko tiko
DBA
Mkali wa Nigeria D’Banj amefunguka na kusema amekuwa mmoja wa mastaa wakubwa katika Industry ya muziki ambaye bado hajaoa na sasa amevunja ukimya na kutamka kuwa ana mpango ya kupata mtoto mwaka huu pamoja na kufunga ndoa.
D’Banj ambaye kwa sasa amefikisha miaka 35 alisema mwaka jana alilazimika kuoa baada ya mama yake kumsisitiza lakini alikua hajajiandaa vya kutosha lakini sasa anaweza kutekeleza nia yake hiyo .
Sijajua itakua lini rasmi…lakini nafikiri kufanya yote mwaka huu,kila siku nimetamani kupata mtoto”:-D’Banj
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram, na Facebook ukijiunga na mimi
tiko tiko

Post a Comment

CodeNirvana
© Haki Zote Zimeifadhiwa Kalamu 1 | designed by tabasamu na ∂αиιєℓι
Code Nirvana
Back To Top