Wazazi
wamekua na nafasi kubwa sana katika malezi ya watoto wao hata wakati
pale wanapokuwa watu wazima lakini baba huyu kutokana na upendo kwa
mwanaye aliamua kujiua baada ya kuona picha za mtoto wake alizopiga
akiwa mtupu katika jarida la Playboynchini Romania.
Loredana Chivu anayeishialiamua kuweka
picha hizo akiwa amepiga katika staili tofauti katika mitandao
mbalimbali ya kijamii ambapo baba yake baada ya kuziona alimkana mwanaye
huyo.
Loredana Chivumsichana aliyesababisha kifo cha baba yake
Kwa mujibu wa mtandao wa The Mirror,
msichana huyo akisimulia kwa machungu baada ya kifo cha baba yake
alisema hakutegemea kama ipo siku baba yake angekasirika kiasi cha
kujitoa uhai.
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari
kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram, na Facebook
ukijiunga na mimi
Post a Comment