tiko
tiko
Mtu wa nguvu utakuwa umeshaisikiliza ile single mpya ya rais wa Manzese, Madee ‘Vuvula’ sasa time hii amekusogezea hiki kionjo cha video hiyo mpya.
Video hiyo mpya inatarajiwa kuzinduliwa rasmi mwezi Feb tarehe 7 kwenye ukumbi wa ufukwe wa bahari Escape One Mikocheni Dar es Salaam.
Tazama hapa kionjo cha video hiyo mpya play
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi
tiko
tiko
Post a Comment