tiko
tiko
KANISA la Stockport la nchini Uingereza leo litamwapisha mwanamke wa kwanza kuwa kasisi.
Libby Lane mwenye umri wa miaka 48 na ambaye ana watoto wawili atakuwa kasisi wa kwanza wa kanisa hilo la Anglikana.
Sherehe hizo zitaongozwa na kasisi Mkuu, John Sentamu eneo la York Minister.
Hatua hiyo inayomaliza ukiritimba wa
utamaduni wa wanaume kuwa makasisi umeendelea kuzua hisia tofauti
miongoni mwa wafuasi wa kanisa hilo la Kianglikana duniani.
tiko
tiko
Post a Comment