Jeshi la Polisi Mkoa
wa Dodoma inawashikilia wanafunzi kadhaa wa chuo Kikuu UDOM kwa tuhuma
za kuhamasisha uvunifu wa amani Chuoni na kufanya maandamano haramu
kutoka Chuoni kuelekea katika Ofisi mbalimbali za viongozi wa Serikali
zilizopo Dodoma kutokana na vurugu hizo zilisababisha baadhi ya
wanafunzi kupata majeraha mbali mbali kutokana na kukwepa vyombo vya
dola na kukimbilia hovyo hovyo na kupelekea kijana huyo pichani ambaye
hatukuweza kupata jina lake kuvunjika mguu |
Post a Comment