Amekua
ni mtu ambae hapotei kwenye headlines kwenye media mbalimbali Tanzania
sababu ya mambo anayoyafanya zikiwemo ziara zake za kimuziki ambazo
alizifanya kwenye nchi za Burundi na Rwanda mwishoni mwa mwaka 2014.
Kwa leo nakusogezea hii show yake ya Burundi.
Post a Comment