tiko
tiko
Kama Bado Hujajiunga Nasi, Unaweza Kujiunga Hapa Nikutumie Habari Moja Kwa Moja ..Bofya HAPA ULIKE PAGE YETU!..
Msanii wa filamu Bongo, Tamrina Posh ‘Amanda’.
Na Chande Abdallah/Ijumaa
Msanii wa filamu Bongo,
Tamrina Posh ‘Amanda’ amefunguka kuwa anaogopa kumtambulisha bwana wake
wa sasa kwa kile alichodai kuwa anaogopa kuibiwa.
Akizu
ngumza na paparazi wetu juzikati, Amanda alisema ameishi kwa muda mrefu
na mpenzi wake bila kuhitilafiana kwa sababu wengi hawamjui, lakini
anahofia akimuanika wasichana wataanza kumfuatafuata na kumwiba.
“Kumtambulisha bwana wangu wa sasa sitaki, naogopa wadada wa mjini
hawakawii kumzengea zengea na kuniibia hivihivi naona. Kwa mfano sasa
hivi watu hawamjui basi wametuliaaa! Lakini ukimweka hadharani tu, hao,”
alisema Amanda.
Kupata Habari Na Matukio Ya Kila Siku Like Page Yetu
tiko
tiko
Post a Comment