tiko
tiko
Baada ya Kuachana na Madawa ya kulevya Mwanamuziki Ray C kwa sasa
anahangaika na zoezi la kupunguza Mwili wake baada ya kuwa mkubwa sana
kiasi cha kupoteza lile umbo lake la kiuno bila mfupa......
Soma Hapa Alichosema:
'No Filter,No Make Up!Mapaja bado yananitesa sana ila najua nitafika safari yangu ya kupunguza uzito hadi nifike mkoa wa kilo 65........Bado Njia ni ndefu na safari ndo kwanza imeanza ila ninachojua ni kwamba ukitaka chochote kizuri maishano ni lazma ukitolee jasho!ma ndio ninachofanya!Hakika nitafika!
20kg to go!Safari ya kupunguza mwili bado inaendelea!nashukuru nimeanza kuona mwanga mbele yangu!Si rahisi ila nimezoea kupambana na lolote mbele yangu na na uhakika ntashinda na hili pia!Am doing ths for all my fans around the world!' Ray C

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI KUHUSU HABARI HII
tiko
tiko
Post a Comment