tiko
tiko

Huyu
kijana amekamatwa leo Clouds, kwa kosa la kutapeli watu mbalimbali kwa
kutumia majina ya wafanyakazi wa Clouds akiwemo Ruge Mutahaba na
kujifanya yeye ndio kiongozi wa idara ya muziki ya Clouds fm na
kuwatapeli wasanii chipukizi kwa kuomba rushwa ya hela ili nyimbo zao
zichezwe redioni
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI KUHUSU HABARI HII
tiko
tiko
Post a Comment