tiko
tiko
Kuna jamaa mmoja ni mwalimu wa Secondary huko masasi anajifanya mende wa
kutembea na mke wangu nimemuonya zaidi ya mara mbili, naona anakaidi
huwa anavizia mimi nikitoka huwa anawasiliana mke wangu kwahiyo anatoka
masasi anakuja Tanga nilitaka kuweka picha yake hapa ila mtandao
unasumbua.
Sasa nafikiria ni adhabu gani nimpatie maana ananisababishia mgogoro wa kifamilia, hivi sasa natumia muda mwingi kumfuatilia yeye nyendo zake badala ya shughuli zangu, nilitaka kumuacha wife lakini mtoto wangu bado mdogo naogopa kumtesa mwanangu pia kuna mtu amenishauri nimtege wife, ila inaniuma sana nahisi nikimkamata sijui nimfanyaje, najitahidi ili niweke picha yake hapa ili ajione na watu wengine wamuone na mkewe pia amuone.
Ushauri wenu tafadhali

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI KUHUSU HABARI HII
tiko
tiko
Post a Comment