Mkali
kutoka kwenye bendi mahiri hapa nchini ya Yamoto Ban,Aslay Isihaka
‘Dogo Aslay’amemtaja mtunzi wa ngoma ya yenye mashairi yenye utata
ambayo inafanya vyema kwenye vituo vya redio na tv ya
‘‘nitakupwelepweta’kuwa ni mkurugenzi wa kituo cha Mkubwa na Wanae,Said
Fella’’Mkubwa Fella’’.
Alisema
kuwa ngoma hiyo siyo kwamba ujumbe wake wameimbiwa wanawake peke yao
kama ambavyo watu wengi wanavyohani lakini pia wanaume watu wazima wenye
tabia ya kutembea na wasichana na wavulana wenye umri mdogo.‘’Watu
wengi wamekuwa wakitafsiri tofauti hii nyimbo lakini ukweli ni kwamba
tumewaimbia wanaume na wanawake watu wazima ambao wanatembea na
wasichana na wavulana wadogo,’alisema Aslay.
TUPE MAONI YAKOTUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPA CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE!!!.
Post a Comment