tiko
tiko
Mrembo na mwigizaji wa filamu ambae kwasasa amekuja kivingine na
mwingine, Wema Sepetu amewatolea uvivu baadhi ya watu wanaosema hawa
mpendi na kumchukia lakini bado wanapeleleza na kumfualitia kila
anachokiweka mtandao, na kutumia akaunti feki kumchafua kwa maneno
machafu....amewaita jina baya na kuwambia wanatamani kuwa kwenye matawi
yake....
“If u say u Hate me and still come spying on what i post plus create fake accounts to insult me,BITCH you actually Envy me... Gnyt now....” Wema aliandika maneno haya mtandao jana usiku.
Nadhani ujumbe umefika!!!
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI KUHUSU HABARI HII
tiko
tiko
Post a Comment