tiko
tiko
Japokuwa
bado kuna baadhi ya watu hawaamini kuwa mwigizaji Wema Sepetu yupo
kwenye mahusiano ya kimapezi na mwanamziki Ommy Dimpoz, eti wana-shoot
video!!, sasa ukweli unazidi kujitokeza siku hadi siku.
Siku ya jana msanii Ommy Dimpoz alitupia picha hiyo hapo juu kwenye
ukursa wake kwenye mtandao wa Instagram, na kuandika kipande cha maneno
kutoka kwenye moja ya nyimbo za Yamoto Band.
“Inzi kufia kwenye kidonda sio ufala ila kapenda......”
Haikuishia hapo, muda kidogo akatupia kipande cha video akiwa na Wema
kwenye bajaji huku Wema akim-BLESS ma-KISS yakutosha…kama unavyoona
kwenye picha hapo juu.
Sasa jamani hivi hiyo KUSHUTI hadi kwenye bajajiiii?!!!
Jamani tuwatakie tu kila la kheri kwenye PROJECT yao.
Mzee wa Ubuyu
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI KUHUSU HABARI HII
tiko
tiko
Post a Comment