tiko
tiko
Moto
uliozuka mapema leo katika nyumba moja iliyopo kati ya mtaa wa Jamhuri
na Mosque jijini Dar es Salaam na kuteketeza mali kadhaa ambazo bado
haijaulikana thamani yake na kutokana na mashuhuda waliokuwepo wakati
moto huo ukianza kuwaka wanafikiri moto huo huenda umesababishwa na
hitilafu ya umeme lakini msemaji kutoka kikosi cha zima moto amesema
chanzo kamili cha moto huo bado hakijajulikana.
Wasamalia wakiliondosha gari lililokua karibu na jengo hilo.
Kikosi cha zimamoto na Jeshi la Polisi wakiwa eneo la tukio. Picha zote kwa hisani ya Michuzi Blog.
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI KUHUSU HABARI HII
tiko
tiko
Post a Comment