tiko
tiko
Tumezoea
kuona pacha wengi wakishare mambo wanayopenda kwa pamoja, kitu kama
aina ya mavazi wanayovaa na vinginevyo, iliwahi kutokea story ya mapacha
walioolewa na pacha wenzao Tanga.
Kutoka Afrika Kusini mapacha wawili wanawake, Owami na Olwethu wenye umri wa miaka 26 wameingia kwenye headline kutokana na kukubaliana kuolewa na mwanaume mmoja, Mzukiseni Mzazi ambapo
mapacha hao wamesema walikuwa wakishirikiana kwa mambo mengi tangu
wakiwa wadogo huku wakiwa na ndoto ya kuolewa na mwanaume mmoja.
Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi
tiko
tiko
Post a Comment