tiko
tiko
Siku
mbili zilizopita mitandao ya kijamii kupitia Instagram, Facebook, Blogs
na wakati mwingine Twitter kumekuwa na story ambazo zimeongelewa kwa
kila namna kuhusiana na msanii wa nyimbo za Bongo Fleva Ommy Dimpoz kuonekana wapo bafuni na picha nyingine kitandani wakiwa na Wema Sepetu ambazo zimezua utata kuwa yawezekana labda wakawa ni wapenzi na wengine wakisema 'Project' inaendelea.
Ila masaa 18 yaliyopita msanii wa muziki wa Bongo Fleva Ommy Dimpoz ameshare picha akiwa na Wema Sepetu huku akiandika maneo kuwa "Inzi kufa kwenye kidonda............", Maneno ambayo wengi wameshindwa kupata maana halisi ambayo ipo kati yao.

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI KUHUSU HABARI HII
tiko
tiko
Post a Comment