tiko
tiko
Mtangazaji wa kituo kimoja cha runinga nchini, Sauda Mwilima ‘Mwarabu wa Kigoma’ juzikati alionekana akiwa ameachia nido zake ukumbini.
Tukio
hilo lilitokea katika Ukumbi wa Escape One, jijini Dar ambapo Sauda
alikuwa ameambatana na mumewe, Kauli Juma huku sehemu ya kifua chake
ikiacha nido zake wazi kutokana na nguo aliyokuwa ameivaa.
“Jamani
hivi siku hizi imekuwa ni fasheni watu kuanika vifua vyao? Mnamuona
Sauda na nguo aliyovaa, inaonekana ni ndogo sana hasa pale kifuani kwa
sababu nido zote nje, pale akiinama tu zinachomoka mweeeh!,” aliongea mmoja wa watu waliokuwepo ukumbini hapo.
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI KUHUSU HABARI HII
tiko
tiko
Post a Comment