tiko
tiko
MWIMBAJI maarufu wa kimataifa wa
Nigeria, Yemi Alade, amezungumzia kwa mara ya kwanza kifo cha baba yake
aliyefariki wiki iliyopita.
Msanii huyo wa kike aliyevuma kwa wimbo
wa ‘Johnny’, alitoa kauli yake katika mtandao wa kijamii wa Instagram
ambako aliandika: “Mungu ambariki. Mbingu imepata malaika mwenye thamani
kubwa,” aliandika katika ukurasa wake wa Instagram akiambatanisha na
picha ya baba yake.
tiko
tiko
Post a Comment